Sasa kwanini usitumie hizo ipad kuweka picha tukaziona?
Rekebisha heading. Ukisema ipad inatosha, ukisema ipad aina ya apple inatoa tafsiri kuwa kuna aina nyinginezo za ipad ambazo si Apple.
hivi kuna I pad aina nyingine zaidi ya apple jamani, naombwa kujuzwa
CC Mkwawa
Zipo za samsung, sony, lg, huawei, tecno, lenovo n.k
hivi kuna I pad aina nyingine zaidi ya apple jamani, naombwa kujuzwa
CC Mkwawa
Zipo za samsung, sony, lg, huawei, tecno, lenovo n.k