Kiwanja kinauzwa Kisota Kigamboni, sqm 1492

Kiwanja kinauzwa Kisota Kigamboni, sqm 1492

Akiri

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
1,445
Reaction score
217
Kiwanja kina Hati, ukubwa sqm 1492, ni umbali 7km kutoka feri ya Kigamboni na hakiko mbali na barabara ya lami. Bei ni 70m.

Kwa mahitaji ya kiwanja hiki na vingine tuwasiliane: 0657 145 555.
 
Kipo umbali wa 22km toka feri ya magogoni, kipo eneo la makazi survey ishafanyika , kipo mita 200 toka barabara ya lami iendayo kimbiji , ni tambalale na ujenzi umeanza , huduma zote muhimu zipo . bei ni 45m tuwasiliane 06571455555
 
Kigamboni kweli inamajina mengi
Mara utasikia Dege mara akiri nae kaja na Denge la Madenge.

Haya tuambie kina hati miliki?

Kwa kumbukumbu zangi ni kwamba ukubwa wa heka moja ni sawa na wastan wa 4,047 sqms
 
Kigamboni kweli inamajina mengi
Mara utasikia Dege mara akiri nae kaja na Denge la Madenge.

Haya tuambie kina hati miliki?

Kwa kumbukumbu zangi ni kwamba ukubwa wa heka moja ni sawa na wastan wa 4,047 sqms
he kaka mji unakuwa na majina yanaongezeka .
 
kisota ni karibu kabisa na kigamboni unaweza enda hata kwa mguu, pia ujenzi umeanza toka kitambo hivyo huduma zote zipo hapo hapo mpaka ATM zipo
 
Kiwanja hiki nimekipima , kipo nyuma ya kiwanda cha mikate pale cheka. kina ukubwa wa sqm 2700. kipo nyumba ya changani beach hotel. ni mwendo wa 23km toka feri , kipo mita 450 toka barabarani . ni tambale , ofa ipo katika hatua za mwisho kabisa kutoka . bei ni 16m. tuwasiliane 0657145555.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom