Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Asali kutoka Singida haijachakachuliwa hata kidogo. Asali yenye ubora unaokustahili. Asali ya nyuki wakubwa. Bei 10000per Lita kwa rejareja 8000per Lita kuanzia Lita 5. Ukiipokea na ikiwa chini ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwenye huoni mzigo ambao bado uko katika hali nzuri na hausumbui naomba tutafutane hapa 0787577755. Offer yangu ni 500,000 cash.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Iko poa haina tatizo lolote la kiufundi, bei ni laki moja tu, haipungui nipo Dar es salaam Mikocheni. Kwa picha na maelezo zaidi PM au whatsapp 0714499248
0 Reactions
2 Replies
962 Views
kama unayo tupia namba hapa fasta na bei zake pia kama una vifaranga sema shingapi SITAKI MAYAI NATAKA KWARE
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Mwenye nayo,anicheki 0658327429
0 Reactions
5 Replies
860 Views
………….MAPINDUZI KTK MAVAZI…………………. Mobile Tailoring and Fashion Designing (Huduma Inakufuata Ulipo-Okoa muda na fedha) -Kwa nini usumbuke kwenda kwa Fundi wakati unaweza kufuatwa ofisini au...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
fuso longbase mnauza bei gani
0 Reactions
1 Replies
2K Views
bandugu kama kichwa kinavyosema hapo juu kama unauza hyo external tuwasiliane me nipo dodoma bei tutaelewana kama ni OG malipo yatakua mazuri
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nahitaji hiyo simu wadau budget yangu ni 600,000/=TSH iwe mpya kabisa pamoja na vifaa vyake vyote nipo dar
0 Reactions
0 Replies
837 Views
Optoma projector ni portable projector inayo chajishwa yenye betry inayokaa zaidi ya masaa 7. Bado ina masaa yakutosha tu. My no. 0769038065
0 Reactions
1 Replies
977 Views
COMPUTER REPAIR AND MAINTENANCE-MOSHI, ARUSHA. SERVICES PROVIDED - LAPTOP REPAIR- TUNA REPAIR LAPTOPS ZENYE HARDWARE PROBLEMS ie power, display problems etc. -MOTHERBOARD REPAIR-Tunafanya...
0 Reactions
0 Replies
689 Views
Upo Kigamboni Beach karibia na ujenzi wa waturuki, NHSSF na shirika la nyumba, ukubwa wa uwanja ni zaidi ya m square 4000, uwanja umepimwa na una hati halisi, bei kwa m square moja elfu 45 na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nauza simu aina ya Sony Experia iko katika hali nzuri 130,000/= unaweza letewa hata mikoani mimi niko Mwanza. Karibu!
0 Reactions
38 Replies
6K Views
UPDATE: The Product is No Longer Available. Thank you all who showed interest Wadau, Nauza simu mpya kabisa, ipo kwenye box na box lipo sealed. Hii simu ni New Samsung Brand ambayo imeingia...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ninatafuta Smartphone nina 150000 cash Sony, Samsung, Motorola, Lg
0 Reactions
5 Replies
975 Views
Kamouni ya TESOTEK inawatangazia kuwa inao sasa ufumbuzi wa hali ya joto inayowakumba watu wengi pale umeme wa TANESCO unapokuwa umekatika. Inazo feni za kuchaji ambazo zinaendelea kufanya kazi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mini Mac hiyo inauzwa, and those are the specś; 2.4GHz Intel Core 2 Duo Processor 4 GB of 1066MHz DDR3 memory Dual 320GB 7200-rpm Serial ATA hard Drives NVIDIA GeForce 320M Graphics Mac...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kiwanja kizuri sana kiko Mbezi Makabe kina ukubwa wa sqm 1,131 kinauzwa kwa bei ya kutupa tzs milioni 16. Kiko eneo la makazi ambalo limeendelezwa kwa mpangilio mzuri, kipo kilometa 1.2 kutoka...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu, Naombeni msaada wa kuelekezwa wapi naweza pata fremu ya kuuzia vifaa ujenzi hasa hasa maeneo ambapo ujenzi umeshamiri (makazi mapya). Wakuu tuwasiliane kwa namba 0754729751 Asanteni sana
0 Reactions
0 Replies
918 Views
Kwa wale ambao hawajui tayari sasa ufumbuzi wa adha ya joto tunalolipata pale umeme wa TANESCO unapokuwa umekatika umepatikana. Zipo feni ambazo licha ya umeme kukatika zenyewe huendelea kufanya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom