Je umewahi kufikiria kuitangaza biashara yako kufikia wateja wengi lakini gharama zikawa kubwa?
Je umewahi kujaribu kuitangaa lakini bado ikashindikana kutokana na kiasi ulichotoa kutoendana na...
Dell latitude E6430, hdd 500gb, ram 8gb, core i7, speed 2.9ghz, webcam, Nvdia graphcs card, bei laki 9,computer mpya kabisa..ipo dar..ni mpya kwa maana ya upya, haijatumika kokote..mnunuaji ani pm.
》location:gezaulole kigamboni
》ukubwa:sqr m 488
》kiwanja kimepimwa na serikali na kina offer
》bei:9mil(maelewano yapo)
》contact:0657170516
>>Kipo kigamboni Gezaulole
>>Ni cha serikali kimepimwa na kina offer
>>Kina ukubwa wa sqr meter 488
>>Bei 9m(maelewano yapo)
For serious buyer call 0657170516....
Habari wanajamii,
Nauza ubuyu Wa Zanzibar, 1000 kwa packet Moja. Nipo Dar es salaam.
Kwa mawasiliano piga 0685091891. Tupo tayari kukusikiliza na kukuhudumia mteja wetu.
Karibuni sana
Nauza mikanda ya kupunguza tumbo wakuu.kwa wanaume na wanawake.rangi nyeupe elfu 30 na rang nyeusi elfu 40.
Ipo michache, napatikana kwa namba 0712620078.
Naleta ulipo
Jamani mashine inauzwa kwa 580,000 tu na ni mpya. Ni mashine ya milango kumi na moja.
Kwa wale ambao watapenda bidhaa ni nyingi na bei ni maongezi tu.
Contact 0712 753 548
Nauza simu ya htc one m8, imetumika iko kwenye hali nzuri. Ni grey in colour, inakuja na charger na box lake. Bei ni tsh 670,000. Kwa mawasiliano nichek at 0717301520
The smart way to shop
Save time and money by using Tz Motors to locate the car parts, trucks parts &tractors parts you need. Our specialist service has been developed in Tanzania we work with...
Asali kutoka Singida haijachakachuliwa hata kidogo.
Asali yenye ubora unaokustahili.
Asali ya nyuki wakubwa.
Bei 10000per Lita kwa rejareja
8000per Lita kuanzia Lita 5.
Ukiipokea na ikiwa chini ya...
Iko poa haina tatizo lolote la kiufundi, bei ni laki moja tu, haipungui nipo Dar es salaam Mikocheni.
Kwa picha na maelezo zaidi PM au whatsapp 0714499248
.MAPINDUZI KTK MAVAZI .
Mobile Tailoring and Fashion Designing (Huduma Inakufuata Ulipo-Okoa muda na fedha)
-Kwa nini usumbuke kwenda kwa Fundi wakati unaweza kufuatwa ofisini au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.