Kiwanja kinauzwa Mbezi Makabe, Million 16 tu

MZALENDOWAKWELIKWELI

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
330
210
Kiwanja kizuri sana kiko Mbezi Makabe kina ukubwa wa sqm 1,131 kinauzwa kwa bei ya kutupa tzs milioni 16. Kiko eneo la makazi ambalo limeendelezwa kwa mpangilio mzuri, kipo kilometa 1.2 kutoka barabara inayowekwa lami ya Mbezi-Boko-Masana-Bagamoyo road.

Wasiliana nami kwa 0784 555 147

Mchoro wa land surveyor na coordinates zake ni kama unavyoonekana hapa chini
MBEZI SITE PLAN.jpg
 
Sketch plan of MCHUNGAJI ISMAIL MARIJANI....:-#///

Kama mdhamini wake ili kujiridhisha ukubwa wa eneo na mchoro wake ISMAIL MARIJANI ndie aliyemlipa/aliyemwajiri surveyor na kutafuta mchoro wa mpango mji ili kuangalia kama eneo halina tatizo....mmiliki ambaye mnunuzi ataandikiana mkataba serikali za mitaa/mwanasheria/mjumbe ni mchungaji.
 
Kiwanja kiko sehem nzuri sana na potential.....mazungumzo yapo....atakayewahi kulipa ndie atapewa kipaumbele.....!
 
Kikubwa zaidi katika kununua ardhi zingatia eneo ambalo halina mgogoro....najivunia kwa hilo....nimeshauza kiwanja humu ndani alinunua jamaa mmoja ana asili ya asia hajawahi kupata shida yeyote.....
 
Nicall tuonane ukapaone kwanza ujionee mwenyewe uzuri na ukubwa wake ufananishe na sehemu zingine....ukiridhika ndo tubagain bei.....Muhimu upate kitu kizuri Roho yako iridhike....0784/0767 555 147.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom