stanleyRuta
JF-Expert Member
- Jul 19, 2014
- 851
- 529
Wakuu,
Naombeni msaada wa kuelekezwa wapi naweza pata fremu ya kuuzia vifaa ujenzi hasa hasa maeneo ambapo ujenzi umeshamiri (makazi mapya).
Wakuu tuwasiliane kwa namba 0754729751
Asanteni sana