Mbao za inch 2 cubic meter 1-475000 (nyeupe)
- inchi 1-565000 kwa mbao ndefu
- Kwa mbao fupi 2*6-8500
- 2*4-5500
- 2*2-2500
- Hii bei ni ya Iringa Kiwandani.
Milunda;
- inchi 3 3500
- inchi 4...
Nyumba iko Yombo Buza kwa Lulenge umbali wa mita 80 kutoka barabara ya lami. Ina vyumba vitatu vya kulala, self contained. Pia ina vyumba vinne vya uani ambavyo havijaezekwa. Kama utapenda...
mini mac iyo inauzwa, and those are the specś
2.4GHz Intel Core 2 Duo Processor
4 GB of 1066MHz DDR3 memory
Dual 320GB 7200-rpm Serial ATA hard Drives
NVIDIA GeForce 320M Graphics
Mac...
Shamba lipo Mkamba mbele kidogo ya Kimanzichana, lina hekari 16 halipo mbali na barabara kuu. Umeme pia haupo mbali. Mkamba ipo njia ya kwenda Kibiti Lindi ni kama 25 km toka Mbagala. Eneo...
Nauza machine ya Maxi Malipo iko katika hali nzuri, imetumika kwa miezi michache.
Sababu ya kuuza nimefunga office, Bei ni 600,000.
Kwa maelezo zaidi ni PM
Vipo vya ukubwa tofauti kuna sqm 4000 bei 40m, kuna sqm 937 bei 10m, kuna sqm 1200 bei 23m, pia kuna sqm 2764 bei 30m, viwanja vimepimwa na mnunuzi atapewa ofa ambayo intatoka baada ya malipo...
Dell latitude E6430, hdd 500gb, ram 8gb, core i7, speed 2.9ghz, webcam, Nvdia graphcs card, bei laki 9,computer mpya kabisa ipo Dar es salaam ni mpya kwa maana ya upya, haijatumika kokote...
Habari Wakuu,
The car is
BMW X3 sports- limited edition
Year- 2005
Mileage 90,000 km
cc 2400
Luxurious leather interior, CD changer, TV, AC and with a royal look and feel. I have just...
Kwa mwenye ufahamu naomba kujua bei ya hizi gari hadi zifike Tanzania na kusajiliwa.
Demio mazda
BF 378466
Engine 1340cc
2003
Bei ya japan 120usd na
Polo volkswagen
Engine 1380cc
2004
Bf 398601...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.