Natafuta simu S5 au note4 original

Natafuta simu S5 au note4 original

mabumbe

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2010
Posts
298
Reaction score
40
Wadau,

Natafuta simu tajwa (S5 au Note4). Iwe katika hali nzuri.

Bajeti yangu 400-500.
 
mabumbe;

Ukiongeza kidogo unaweza kupata s5, ila sio note 4
 
Last edited by a moderator:
Ninayo s5 used original nimetumia miezi miwili tu bei 450,000 mwisho mkuu
 
Kuna note 3. Bei tsh.350,000....0713382803....mpya
 
Leta 350000 nikupe iphone 4s pamoja na cable yake haina tatizo lolote
 
Daa we jamaa sasa unataka note 4 kwa 500k unataka copy au labda s5 iliyotumika
 
Wadau,

Natafuta simu tajwa (S5 au Note4). Iwe katika hali nzuri.

Bajeti yangu 400-500.

Njoo uchukue s5 ambayo haisupport sim card. Ni oridinal kabisa unaweza kutumia as wifi device for just 200k
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom