Naweza kujibu kodi tu kwa sababu TRA wameweka calculator yao online. shipping waweza ulizia mtandaoni!
Andaa milion 3.8 kwa mazda demio , na 4.6 kwa polo hiyo ni kodi pekee, bado kuna port charges , shipping line fees, agency fees n.k
Ila kwa Mara ya kwanza nimeshawishika kuipenda brand ya Volkswagen kutoka Japan , cha kwanza bei chee ,pili finishing ya ndani, halafu hazijatembea km nyingi,
My favorite Volkswagen BORA!!! Nadhan siku si nyingi nitajilipua kununua , hii ya kukariri mafundi wetu inatufanya watu tusitoke nje ya cycle , kwa hofu za kijinga.