Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nauza huawei y530 inatumia laini zote.imetumika wiki 2 tuu.bei 130(fixed).0659626782.kwa picha.ahsante
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu, Habari nahitaji mayai ya kuku wa kienyeji,nataka mayai 600 yawe fresh kwa ajili ya kutotolesha nipo DSM. Kama unajua njoo pm
0 Reactions
0 Replies
839 Views
nipo dar wapi naweza pata plain tshirts kwa bei ya jumla yenye v-neck nikipata aina ya jaguar itakua poa zaidi
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ninauza printer Epson Stylus S22 T.Sh 100,000. Imetumika wiki moja tu. Haina wino. Pia ninayo HP Deskjet 2000 Printer J210a imetumika mwaka mmoja. Haina wino. Bei T.Sh 70,000. Zipo pia Power...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mackbook Pro 15 inch. 500 GB hard disk RAM 4 GB Intel Core 2 duo. Price 1,100,000 tshs. 0717 022737 for business
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Ni orijino ,iko katika hali nzuri imetumika mwezi mmoja tu, bado mpya ilinunuliwa korea aina ya simu ni samsung galaxy trend plus GT-S7580 bei ni LAKI TATU tu, picha hizo hapo kwenye attachment...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Full HD 2hdmi ports 1usb port Price: 900,000( not negotiable) Contact: 0713086602 Free delivery
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu heshima mbele, yeyote mwenye charger tajwa original abitafute tuongee biashara 0712402951
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wapo kama 25 wewe tuu bei yake 11000 kila mmoja
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Simu tajwa hapo inauzwa kwa sh 350,000 ni nyeusi internal memory 16 gb na orijino usb cable yake....haina tatizo lolote lile 📱📱📱📱-0658305201 nipo dar es salaam.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wadau, Nahitaji vifungashio vya vimiminika (chupa za plastic) za kwamfano maji, juice, maziwa n.k.Pamoja mashine ya ku-seal mifuniko yake.Tafadhali naomba mwongozo wadau
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Kwa mwenye gari aina ya Nissan Extrail na anahitaji kuiuza leo anicheki faster, iiwe Dar 0654715457
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wana JF, Nahitaji baby walker (used vitz) offer yangu ni Tsh 3M ni pm kama unayo au unajua mtu anasukuma.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau,mwenyekujua soko la hizi mbao au mwenye uzoefu na interest na biashara hyo naomba msaada pia unaweza kuni pm tukawasiliana zaidi.
0 Reactions
7 Replies
5K Views
<strong>KWA WATU WOTE WANAOHITAJI VIFAA VYA UJENZI </strong><strong>AMBAVYO NI:<br>1.MBAO ZA AINA ZOTE....TREATEDTIMBER MBAO NGUMU NA SYPLUS<br>2.HARDWOOD YAANI MBAONGUMU AMBAZO...
0 Reactions
30 Replies
8K Views
Habari wana JF, nahitaji mbao za mninga zilizojaa vizuri 2*8, kama mtu anazo tafadhali tuwasiliane kwa namba 0782370200.niko Dar es salaam
1 Reactions
1 Replies
903 Views
Nahitaji mbao treated 2by4 na 2by2. Ziwe na uref aa futi 20 mwenye bei nzuri ajitokeze wadau
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mbao za inch 2 cubic meter 1-475000 (nyeupe) - inchi 1-565000 kwa mbao ndefu - Kwa mbao fupi 2*6-8500 - 2*4-5500 - 2*2-2500 - Hii bei ni ya Iringa Kiwandani. Milunda; - inchi 3 3500 - inchi 4...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Wakuu nahitaji mbao 2x4 mia 4 na mirunda mia 6. Pia nahitaji Marine Board 18mm pc 100. Naomba bei 'rafiki'. Tuwasiliane tafadhali
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Gari imetembea km 60000 tu Gari iko kamili vibali etc Bei ni 10.7mln Mwenye kuitaka tuwasiliane 0715591141
0 Reactions
0 Replies
7K Views
Back
Top Bottom