Mbao zinahitajika maeneo yoyoyte dsm


hamex

hamex

Member
Joined
Nov 20, 2011
Messages
38
Likes
0
Points
0
hamex

hamex

Member
Joined Nov 20, 2011
38 0 0
Nahitaji mbao treated 2by4 na 2by2. Ziwe na uref aa futi 20 mwenye bei nzuri ajitokeze wadau
 
John L. Mihambo

John L. Mihambo

Verified Member
Joined
Jan 26, 2013
Messages
526
Likes
73
Points
45
John L. Mihambo

John L. Mihambo

Verified Member
Joined Jan 26, 2013
526 73 45
Wakuu bado tunaendelea kupokea ODA zenu! Kumbuka, hatuuzi magogo. Ni mbao zenye ukubwa(size) wa
(i) Inch 1 kwa inch 8 (1*8), urefu wa futi 10 (Mita 3)
(ii) Inch 2 kwa inch 6 (2*6), urefu wa futi 10 (Mita 3)

(iii) Inch 2 kwa inch 5 (2*5), urefu wa futi 10 (Mita 3)

(iv) Inch 1 kwa inch 5 (1*5), urefu wa futi 10 (Mita 3), n.k


Mbao ni za aina mbalimbali, kulingana na mahitaji yako!


NB: Kwa wale msiopenda usumbufu wa kusafiri hadi kufika katika ofisi yetu, wilaya ya Urambo, mkoa wa Tabora. Mnaweza kututumia barua pepe zenu (e-mail), kupitia namba zetu za simu ama barua pepe zetu;

Simu: 0784 324 102 / 0755 732 981 / 0784 667 480

Barua pepe: info@mihambos.com / sales@mihambos.com


Na tutakutumia MKATABA WA MAUZO/ MANUNUZI mara moja, ili taratibu nyinginezo ziweze kuendelea!


Karibuni sana.
 

Forum statistics

Threads 1,273,307
Members 490,351
Posts 30,477,591