Nyumba inauzwa haraka

Nyumba inauzwa haraka

kamojatu

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2013
Posts
723
Reaction score
689
Nyumba iko Yombo Buza kwa Lulenge umbali wa mita 80 kutoka barabara ya lami. Ina vyumba vitatu vya kulala, self contained. Pia ina vyumba vinne vya uani ambavyo havijaezekwa. Kama utapenda kuikagua waweza kupiga simu ya mwenye nyumba (siyo dalali)

Namba 0784068164

Bei ni maelewano
 
Mwenye maswali pia aweza kuuliza nitamjibu. Karibuni
 
Picha nitaweka baadae kwa sasa nimenasa kwenye foleni
 
Acheni maneno bhana nyumba za mabondeni huwa zinauzwa wakati wa kiangazi. Inaonekana mtz daima na Tamalisa hamjui maujanja ya dsm. Nyumba ninayouza nakuruhusu uje leo hii ukague tufanye biashara
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom