Vipo vya ukubwa tofauti kuna sqm 4000 bei 40m, kuna sqm 937 bei 10m, kuna sqm 1200 bei 23m, pia kuna sqm 2764 bei 30m, viwanja vimepimwa na mnunuzi atapewa ofa ambayo intatoka baada ya malipo kufanyika . Cheka ipo 25km kutoka feri ya magogoni .
Tuwasiliane 0657145555
Tuwasiliane 0657145555