Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

habari wadau asanteni kwa wote ambao mlinichek wiki iliyopita na kufanikiwa kuweza kufanya muamala wa laptop.leo tena nimeleta kazi ingine nahitaji laptop.yenye sifa zifuatazo 1-Processor : core...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nauza simu mpya (Brand New) Huawei y520 ipo kwenye box lake.Bei ni 180,000. Kwa anayehitaji anipm nipo Dar. Karibuni
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wandugu habari, Nina taka kuanzisha biashara ya kufuga nguruwe na kuuza wanapofikia ukubwa nnao hitaji,nimekwisha fanya construction zote muhimu kwasasa nipo katika hatua za mwisho. Mpango wangu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
kiwanja kipo Msakuzi mita kama 500, toka kituo cha mwisho cha daladala! Kiwanja cha ukubwa wa miguu 30x20, kipo kwenye mtaa kinafikiwa na barabara yaani T junction, umeme upo karibu huitaji...
0 Reactions
0 Replies
944 Views
Wakuu kwa alie nayo au unajua mahali zinauzwa na ni sh ngap? Mi nipo Dar
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habari za humu wandugu me ni mtz nadeal na utengenezaji wa celling za gypsum acoustik pamoja na gypsum partition maelezo zaidi email vankiwelu@gmail.com
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama unahitaji milango, madirisha au fenicha zingine za miti mizuri ya Mkongo, Mninga, Panga panga kwa BEI NAFUU SANA niinbox nikusaidie kujenga nyumba bora na sio bora nyumba. Karibuni.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Grey, year 2004, kilometer 40,000. Cc1000, full duty paid. Price: 8,500,000.neg, Email: mosesnicolus@gmail.com
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Grey, year 2004, Cc 1000, kilometer 40,570, price: 8,500,000. Neg, fully duty paid. Email: mosesnicolus@ gmail.com
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ipo Ada Estate Kinondoni. Nyumba ya pili toka barabara ya Ally Hassan Mwinyi. Inatazamana na leaders club. Ina vyumba 2 vya kulala sebule kubwa jiko store, ni apartment. Bei lake 9 kwa mwezi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nahitaji alteza 4 cylinder Iwe Dar plate namb C Kama unayo tuma picha na detals zake hapa 0714547830
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani wana JamiiForums naomba mnipe specifications za TV flat screen 32 aina yoyote nzuri bei kuanzia Tsh. 600,000 hadi 700,000.. Nipo jijini Arusha.
0 Reactions
37 Replies
8K Views
DESCRIPTION Brand new, unopened,unused, sony bravia home theatre system, model: DAV- TZ140, 300watts, HDMI, USB.2 years warrant, Pay on Delivery. Price: 330,000 0785448996 / 0718268969
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nahitaji spare tajwa haoo. Mwenye navyo anichekki -0713794962.
0 Reactions
1 Replies
811 Views
Nyumba yenye vyumba saba na fremu za biashara iliyopo eneo la Buza nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam inauzwa kwa bei nafuu. Pia kuna kiwanja kikubwa ambacho unaweza kujenga nyumba nyingine. Piga...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Bei ni 20M. Mawasiliano: 0712 375793
0 Reactions
4 Replies
4K Views
TV TLC,hii haionyeshi picha japo Sauti inasikika,kama una uhakika wa kutatua tatizo ni PM
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Nahitaji simu tajwa kwa mwenye kuuza bajeti yangu 200,000/=
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Tecno R7 330000tsh Sony experia Z1 original 480000tsh Htc one original 380000tsh Huawei ascend y530 origimal 120000tsh Maxon x tremer original 350000tsh Sony experia z3 clone 270000tsh LG G3 clone...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Back
Top Bottom