Kiwanja kinauzwa Mbezi Msakuzi

Kiwanja kinauzwa Mbezi Msakuzi

Gumilapua

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2011
Posts
935
Reaction score
733
kiwanja kipo Msakuzi mita kama 500, toka kituo cha mwisho cha daladala!
  1. Kiwanja cha ukubwa wa miguu 30x20,
  2. kipo kwenye mtaa
  3. kinafikiwa na barabara yaani T junction,
  4. umeme upo karibu huitaji kununua nguzo.
  5. kina slope kidogo hivyo hakituamishi maji.
  6. bei yake ni milioni sita tu!

kama ni mteja wa kweli, unaweza kuni-PM tuongee biashara.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom