Kwa anayefahamu price ya hii Galaxy S6 edge naomba anifamishe..... Ni bora kufanya research kujua bei ili kujua unajipangaje, so kwa anayefahamu anifamishe but kwa asiefahamu asubiri naye...
Habari wandugu,
Naomba msaada kwa yule anyejua mahali Oriflame official agents au duka linalouza bidhaaa kwa Dar,
nahitaji kununua bidhaa kwa matumizi binafsi.
Many thanks
1)Hapa kuna samsung galaxy note 4 nyeupe less than a month used bei yake ni 940,000
2) hapa kuna samsung galaxy note 3 used ila iko poa na yenyewe imesimamia kucha.. Bei yake 600,000
3)hapa kuna...
Niaje ndugu zangu Leo hii kijana wenu nimeamua kuuza cm yangu aina ya smart tablelat ambayo aina tatizo lolote kama unaitaji niPm ili tuongee biashara (na kufaamisha no shingap inauzwa Sikh njema...
Haya serious buyer tu kama unahitaji sub woofer inapatikana kwa elfu 60 imenunuliwa mwez wa pili haina kasoro wala michubuko ina fm radio, remote, mahala pa kuchomeka flash na memory card na...
Nauza Accessories za Laptop na Desktop,Pia natengeneza Pc.
Accessories ni kama.....
Screen za Laptop
Charger za Laptop
Batry za Laptop
Keyboard za Laptop
Hard disk
Ram memory
Windows install...
Ndugu zangu nawatangazia kuwa kuna upotevu wa kitambulisho cha kazi na kadi za bank Canada na Tanzania. Vimepotea katika jiji la Dar. Vilikuwa kwenye pochi moja. Vyote vina jina MAKARIUS PETER...
Natanguliza salamu. Wakuu natafuta dealer ambae atakua anani supply battery na vifaa vya simu kwa jumla. Ikiwezekana hata simu za aina tofauti vile vile.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.