Nyumba inapangishwa Ada Estate Kinondoni

Nyumba inapangishwa Ada Estate Kinondoni

Akiri

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
1,445
Reaction score
217
Ipo Ada Estate Kinondoni. Nyumba ya pili toka barabara ya Ally Hassan Mwinyi. Inatazamana na leaders club. Ina vyumba 2 vya kulala sebule kubwa jiko store, ni apartment. Bei lake 9 kwa mwezi. Kodi miezi 6 mpaka mwaka.

Tuwasiliane 0657145555 Dalali
 
Nyumba Bado ipo Ina A/c pia kuna feniture ambazo ni makubaliano kama utapenda kuzitumia
 
Utatumiwa mkuu let number nikurushie
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom