700,000 hii hapa, niuzie laptop

700,000 hii hapa, niuzie laptop

Duly zura

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2013
Posts
411
Reaction score
37
habari wadau asanteni kwa wote ambao mlinichek wiki iliyopita na kufanikiwa kuweza kufanya muamala wa laptop.leo tena nimeleta kazi ingine nahitaji laptop.yenye sifa zifuatazo
1-Processor : core i5 au core i7 with not less than 2.5Ghz CPU
2:Ram not less than 6GB
3-Hard disk not less than 640GB
4-Screen size 14.1 is more,preferable than 15.6
5-Most important iwe SLIM(NYEMBAMBA)
jaman nikisema nyembamba nieleweke maana pc nyingi zina width(unene) kiasi fulan
Pc inahitajika mapema sana
kama unauhakika unayo nipigie 0714478797 tufanye biashara leo
 
Mkuu labda utafute ya maboksi, kwa hela yako hiyo na specs unazotaka...kwakweli tafuta ya maboksi. Hela yako ni ya laptop i3 mpya tena kwa kulialia na i5 used iliyochoka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom