Amani 2015
Member
- Dec 28, 2014
- 82
- 14
Nauza simu mpya (Brand New) Huawei y520 ipo kwenye box lake.Bei ni 180,000.
Kwa anayehitaji anipm nipo Dar.
Karibuni
Kwa anayehitaji anipm nipo Dar.
Karibuni
.. Haiwezekani kwa hiyo bei kaka... Hii simu ni mpya kabisa halafu ni Original... Fika bei then nitafanya utaratibu wa kukufikishia sehemu uliyopo mkuu... Asantenina 120
...Mkuu acha number yako hapa tuyajengeChukuwa 140