Habari wanajamii,
Ninauza gari bei nafuu.
Aina: FORD ESCAPE
KM: 127,300
BEI: 23,000,000 Tshs
Plate No ni "C"
SIMU: 0717221590
maelewano yapo kwa aliyetayari ataonyeshwa na kupewa nafasi ya...
Ni Samsung galaxy sIII mini GT-I8190 super copy from Korea! imetumika miezi miwili tu!kwaiyo bado ipo ktk hali nzuri tu!
pia inasupport mitandao ya kijamii kama whatsapp, Facebook,instagram, nk...
Karibu available for hire/kukodi. Inbox us kwenye Fb page yetu Emmanuel bridal maharusi shop au East Africa wedding dresses suppliers. Bei poa kabisa
Karibu. Inua uchumi wa Tz nunuwa bidhaa za...
HP ELITEBOOK Aina ya Laptop: HP Elitebook 6930P, Hali yake: Used & Good condition, Uwezo: 300GB , 3GB ram, Processor 2.5Ghz core i2 (duo core), Camera: 2mpx, VGA, OS: Sifa zake: Inakaa na chaji...
kiwanja kipo karibu na mradi wa viwanja vya serikali full shangwe kibada , ni tambalale , eneo zuri watu wamejenga vizuri. umbali toka ferry ni km 9 tu, bei mil 9, ukubwa ni 30 kwa 20...
Nyumba ya vyumba vitatu master siting kitchen na woshloom inauzwa nyumba ipo tabata shule mita 200 kutoka balabalani ina fens na ene la kupaki magari ndani ya fensi bei 160ML kwa anae hitaji...
frame inapangishwa kariakoo mtaa wa likoma na muhonda ina ukubwa wa fut saba upana na urefu ni fut kumi juu ina store iko two in one bei laki 5 inatakiwa kodi ya miez 6 ila hata minne unaweza...
Wanajamii habari zenu,
Namtafutia mdogo wangu nyumba ya kupanga Mkoani Mbeya iwe maeneo ya Sae, forest Iramba au Mjini yenye iwe self contained yenye chumba cha kulala, sebule, jiko na choo iwe...
Wana JF,
Kuna ekari 50 za kijiji cha Kivinja B zinauzwa zote kwa Shs. 20,000,000/= tu. Anayetaka awasiliane nami: terabojo@gmail.com Ukiafikiana na uongozi wa kijiji utalipa kupitia katknakaunta...
Habari wana jf tunahitaji watu wa kuuza viatu aina ya sandozi za kike na zakiume pia kwa wale wanaojua kushona maua ya shanga kwenye viatu vya kike wanahitajika. tunapatikana gongo la mboto...
1. Successful completion of the CISA Examination
The examination is open to all individuals who have an interest in information systems audit, control and security. All are encouraged to work...
Wadau,
Nahitaji mkopo wa vitu vya ndani kama TV na friji halafu nilipe kidogo kidogo kila mwezi itategemea na makubaliano na bei ya hivyo hitu. Wapi naweza kupata? Mimi nafanya kazi hapa Dar es...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.