Viatu vya kimasai bei ya jumla

Viatu vya kimasai bei ya jumla

Ududu

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
1,020
Reaction score
556
Habari wadau,

Naomba kuuliza wapi naweza pata viatu vya kimasai (Sendo) vya kike na kiume kwa bei ya jumla hapa Dar? Na bei ni shillingi ngapi?
 
Habari mdau!!!sisi kiwanda chetu kinajulikana kama 100 Sandals company, ukitafuta tangazo letu hapa jf utaliona..inshort tunahusika na kutengeneza sendo za kimaasai za kike,kiume na watoto,,,tunatengeneza flat sandals na MAKIRIKIRI,,,

tupo DODOMA lakini hapo DAR tunae wakala wetu atakaekuletea mizigo hadi ulipo,,,VIATU vya kike bei jumla ni 11000 na kiume ni 13000..kwa maeleza zaidi na picha za sample zetu nicheki WhatsApp:::0765596933,,
 
Habari wadau?naomba kuuliza wapi naweza pata viatu vya kimasai (Sendo) vya kike na kiume kwa bei ya jumla hapa Dar?na bei ni shilling ngapi?

Habari mdau!!!sisi kiwanda chetu kinajulikana kama 100 Sandals company, ukitafuta tangazo letu hapa jf utaliona..inshort tunahusika na kutengeneza sendo za kimaasai za kike,kiume na watoto,,,tunatengeneza flat sandals na MAKIRIKIRI,,, tupo DODOMA lakini hapo DAR tunae wakala wetu atakaekuletea mizigo hadi ulipo,,,VIATU vya kike bei jumla ni 11000 na kiume ni 13000..kwa maeleza zaidi na picha za sample zetu nicheki WhatsApp:::0765596933,,

Mbona unaanzisha thread na kujijibu mwenyewe?
 
Konda umesoma vizuri hii thread fresh au inakuaje?aleyeanzisha thread ni jamaa anaitwa ududu anaulizia sendo za kimaasai kwa hiyo nlikuwa namjibu,,,,,nimekujibu swali lako konda kama bado uliza tena
 
Konda umesoma vizuri hii thread fresh au inakuaje?aleyeanzisha thread ni jamaa anaitwa ududu anaulizia sendo za kimaasai kwa hiyo nlikuwa namjibu,,,,,nimekujibu swali lako konda kama bado uliza tena

Mkuu mbona kama bei kubwa sana?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom