Jumba la kisasa lipo sokoni Mbezi Beach

Jumba la kisasa lipo sokoni Mbezi Beach

Pelham 1

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
548
Reaction score
100
TANGAZA MARKETING SOLUTIONS:

Jumba la kisasa linauzwa tsh Billion 2,
Lipo Mbezi beach Makonde karibu na beach,
Ful furnished, 5 Bed rooms al self contained, Gym. Min bar, Swimming pool, Kids room, Standby generator, Water dispenser/filt ration machen, Laundry room, Kitchen stor, Double sitting rooms, Dinning room etc.
 
Attachments

  • 1433362666681.jpg
    1433362666681.jpg
    51.9 KB · Views: 677
  • 1433362700485.jpg
    1433362700485.jpg
    60.1 KB · Views: 684
  • 1433362769480.jpg
    1433362769480.jpg
    45.6 KB · Views: 697
  • 1433362801315.jpg
    1433362801315.jpg
    52.6 KB · Views: 700
  • 1433362870924.jpg
    1433362870924.jpg
    78.6 KB · Views: 686
  • 1433362905445.jpg
    1433362905445.jpg
    70 KB · Views: 678
  • 1433362950650.jpg
    1433362950650.jpg
    65.9 KB · Views: 692
Sijui lini nitafikia huko kwa maisha yenyewe ya kuunga unga 😢😢😢 Ooh Lord God Give me strength and knowledge to get like this
 
wewe tangia uzaliwe umewahi kuona hizo bilion 2 au unaandika tu. Unadhani pesa watu wanaokota eh
 
Hii nyumba inastahili kuuzwa Hiyo bei,sababu kuu ni nyumba yenyewe,Mahali ilipo pia ujenzi unapanda kila siku gharama,pia lazima mtu adze kwa faida
 
Japo sina hela ila hiyo bei ni stahiki kabisa hata kama ingeongezeka hadi 2.5b
 
Pesa anayouza ni ndogo kulingana na nyumba na location iliko, sina uhakika kama ataweza kujenga nyingine kwenye hilo eneo kwa hiyo pesa
 
Pesa anayouza ni ndogo kulingana na nyumba na location iliko, sina uhakika kama ataweza kujenga nyingine kwenye hilo eneo kwa hiyo pesa

Kweli ni ndogo hata mimi nimeona
 
Hakika ni nyumba ya uhakika. Wenye hela zao watanunua..... Hongera kwa ujenzi.
 
Kwanini wewe unauza kwa pesa ya "madafu"?ingekua kwa us dollar tungefanya biz!!!!
 
Pesa anayouza ni ndogo kulingana na nyumba na location iliko, sina uhakika kama ataweza kujenga nyingine kwenye hilo eneo kwa hiyo pesa

Lipa, lipa faster mwenye nyumba ni mstaafu anataka kwenda kwao malampaka!
 
Kwa sasa ni uchaguzi hauwezi pata mteja fasta subiri uchaguzi upite watu waanze kupiga hela ndio watanunua.
 
Kwa sasa ni uchaguzi hauwezi pata mteja fasta subiri uchaguzi upite watu waanze kupiga hela ndio watanunua.

Matajiri sasa hivi wanataka wasepe maana hali ya kisiasa sasa haieleweki mkuu ,hawajui watakao ingia ni Ukawa au CCM
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom