Kinatafutwa chumba cha kupanga self contained njombe mjini

Kinatafutwa chumba cha kupanga self contained njombe mjini

Eistein

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2011
Posts
1,107
Reaction score
482
wadau habari
poleni kwa majukumu, kichwa cha habari cha husika, kinahitajika haraka sana chumba (self contained)-njombe mjini
maeneo yasiwe mbali na mjini, maeneo kama ya nazaleti, au mji mwema yatafaa zaidi, au popote pale, ila iwe karibu na mjini, panapo fikika kwa urahisi, nyumba ikiwa na geti na ukuta kwa ajili ya usalama itafaa zaidi, iwe na maji na umeme. Anayeweza kusaidia kufanikisha hili tafadhali ni pm. Asanteni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom