Nyumba ya kupanga Dar es salaam inahitajika

Nyumba ya kupanga Dar es salaam inahitajika

loving

Senior Member
Joined
Aug 27, 2012
Posts
137
Reaction score
34
Wadau,

Nitaweza pata wapi nyumba maeneo ya Dar es salaam ya vyumba viwili na sebule pamoja na choo kwa laki na nusu?
Nakuja Dar es salaam kuanza maisha na familia yangu na sijapata bado kazi ya kujimudu sawasawa
.
 
Laki moja na nusu ni ngumu labda nje ya mji kabisa.
 
Kweli watu tumetofautiana...unakuja kuanza maisha dar kwa kupanga nyumba nzima....!!!
 
Wadau nitaweza pata wapi nyumba maeneo ya Dar Es Salaam ya vyumba viwili na sebule pamoja na choo kwa Laki na Nusu?..... Nakuja Dar kuanza maisha na familia yangu na sijapata bado kazi ya kujimudu sawasawa

Tabata, airport utapata kwa bei hiyo ila ukitaka sinza, kinondoni knyama ngumu kupata
 
Me nina laki 2 nahitaji chumba self na sebule mitaa ya kinondoni, kurasini au tabata... malipo miezi sita sita
 
Kweli watu tumetofautiana...unakuja kuanza maisha dar kwa kupanga nyumba nzima....!!!


Ninakuja kukaa na familia yenye watoto wa kiume na wakike hivyo room moja itakuwa shida mno
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom