Nyumba Ya Kupanga Kimara Suka

Nyumba Ya Kupanga Kimara Suka

MarianaTrench

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
1,212
Reaction score
942
Habari ya weekend wadau?
Nyumba nzuri ya kupanga kimara suka, in vyumba vinne vya kulala kimoja ni master, sebule kubwa na dinning room, choo na bafu vya ndani na choo cha nje pia. Maji ya dawasco pamoja na matenki makuba si chini ya manne, parking ya gari moja iliyofungwa lakini uwanja upo wa kupaki magari kama mawili zaidi inategemea na ukubwa wa magari. Umbali kutoka stendi ni baada ya line kubwa ya tanesco mita chache mbele. Ina uzio na geti pia mboga za majani na mahindi tumepanda .
Bei maelewano kianzio laki nane kwa mwezi.
0655852298
 

Attachments

  • IMG-20150605-WA0003.jpg
    IMG-20150605-WA0003.jpg
    87.8 KB · Views: 198
  • IMG-20150605-WA0005.jpg
    IMG-20150605-WA0005.jpg
    87.9 KB · Views: 141
  • IMG-20150605-WA0006.jpg
    IMG-20150605-WA0006.jpg
    79.4 KB · Views: 137

Similar Discussions

Back
Top Bottom