Marekani vipo vingi sana tena bure, we mfuate Kiranga tu atakupatia au Nyani Ngabu kwa bei chee kabisa
Mkuu yupi?
Ume tag wawili hapo.
wote wawili maana nimeambiwa mna solution juu ya hitaji tajwa kwenye thread hii.
Kwani wewe uko wapi?
Niko Sinza Madukani.
Ahasante.
ila Mwenge upande upi?