Habari,
Katika kijiji cha Buyuni, kata ya Vigwaza kuna madimbwi makubwa mawili, dimbwi moja lina ukubwa wa eka 12.5, na dimbwi la pili ni kubwa sana, ni eka 39.0 (hapa tulipima nusu ya dimbwi)...
Natafuta simu aina ya Samsung Galaxy s3 nina Laki Moja na Nusu isiwe clone au imechoka sana iwe katika hali nzuri, kama upo tayari niPM au niwhatsapp kwa 0764361843
Mwenye iphone 6 used anipe bei na condition ya sim yake.
Naitaka leo ikiwezekana uhalali na uhakika wa kufanya biashara upo ... Wenye nazo tumen CV zenu
Nauza mashine ya kuangua vifaranga vya kuku, bata, bata mzinga, kwale, kanga na wengineo wengi. Hii ni original mashine kutoka UK na ina ubora wa hali ya juu. Hii ni automatic mashine ambayo mayai...
Mwenye hyo mashine ya kuangushia magogo na kuchana mbao porini nahitaji bei ipo laki 9, awe yuko tayari kunipa mafunzo ya namna ya kuitumia yaani kukata magogo na mbao. Nawasilisha wa jf
Ni mpyaaaaa
Inafanya kazi--yaani ina operate mpaka sasa inaingiza fedha.
Hotel ya kisasa, kilometa 43 kutoka dar.ukubwa heka 3.vyumba 21,bar na majiko 2.conference watu 50.ukumbi watu 300 na...
Natafuta mdada wa kazi mwenye umri wa above 30 ambae atakua na kazi ya kumtunza Mzee. Nitashukuru kama nitapata mtu ambae amewahi kutunza wazee hapo mwanzo.
Utapata eneo la kulala na chakula na...
Habari zenu?
Natafuta msichana mwaminifu wa kuuza duka la mahitaji ya nyumbani hapa mtaani Morovian,jirani na Mianzini,Arusha.
Sifa:
Ajue kusoma na kuandika
Awe na wadhamini
Awe na bidii ya kazi...
wadau naweza pata smartphone yenye buttons ambayo ni android operating system..naomba na gharama yake tafadhali..ikipatikana ya laini mbili ntashukuru zaidi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.