Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Samsung galaxy s3 only kwa 300000 Ni 64gb darkblue nichek 0714547830 au 0652871546
0 Reactions
1 Replies
783 Views
Habari, Nauza Suzuki carry bei 6.0M. Ipo kwenye hali nzuri. Ina Bima inayoisha Agust,2015 na kibali icha TRA kinachoisha July,2015. Kama unahitaji please PM.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kwa wale wapenzi wa kudownload na kustream,vocha zinapatikana.kwa maelezo zaidi tuwasiliane 0659626782. SMS pia zitajibiwa.asante kwa ushirikiano
0 Reactions
0 Replies
801 Views
Account zinauzwa jamani wapendwa, Bei ni nafuu kila followers 1000 unatoa 20000/= tuu. Hii ni kwa watu wanaotaka kufungua account kwa ajili ya biashara au matumizi binafsi. Utaponunua utapewa...
0 Reactions
60 Replies
7K Views
Kwa wapenzi wa playstation games,mashine ps2 inauzwa bado ipo katika hali nzuri.inacheza games za kwenye flash na kwenye cds.inakila kitu chake pamoja. -Unapata mashine yenyewe. -pads mbili...
1 Reactions
1 Replies
910 Views
ps2 iliyotumika ila ikiwa kwenye hali nzuri inauzwa kwa bei nafuu ya laki na ishirini (120k) ina padi moja memo power supply ni ps2 ile ndogo sio kubwa
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari, Inahitajika Motherboard ya Laptop Hp-Compaq Presario motherboard hii inaingiliana na zile za hp Hp 630 series. Mwenye nayo Tuwasiliane #684 141 476 Dar es Salaam
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Heshima wakuu, Natafuta air max yenye ulimi mrfu na fupi ya kawaida. Kwa bei nzuri tafadhali
0 Reactions
0 Replies
869 Views
Backyard poultry, ni washirika wa wajasiriamali hasa wafugaji katika uzalishaji na uuzaji wa vifaranga wa kuku wa kienyeji pamoja na chotara kwa gharama nafuu. Vifaranga wetu wa siku moja huuzwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
NISSAN X-Trail Maker: Nissan Model: X-Trail, Mileage: 71,149KM Engine:2000cc Fuel: Regular Gasoline Transmission : Automatic Color: Red Doors:5 CONTACT; 0674924076
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa yeyote mwenye uhitaji wa logo popote pale ulipo tanzania pata logo sasa kwa bei ya tsh.40,000/= tu...kwa anaehitaji awasiliane nami kupitia 0689341445
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwa anaejua bei ya viwanja Kyela mjini na maeneo ya jirani naomba anijulishe. Natanguliza shukrani
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Kwa wazoefu wa stationery naomba uzoefu hasa wa photocopy machine nzuri (mpya) na nzuri zinauzwa wapi hapa dar na bei zake zinakuwa bei gani nahitaji heavy duty
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakuu naitaji gari Toyota Ist namba C au D yenye hali mzuri Mtu mwenye nayo anaweza kunicheck kwa namba 0776 969697
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hi Wanajamvi, Kwa anaetaka ofisi, ni room mbili kubwa tu, kama 50 sqms hivi, ipo kijitonyama, Nililipa kodi ya mwaka @ 400,000 kwa mwezi ila kwasasa nahamisha ofisi sehemu kubwa zaidi ya hapa...
0 Reactions
0 Replies
987 Views
Helloz, Nina agency ambayo nimekuwa nafanyia kazi nyumbani ( homebased) lakini umekuja umuhimu wa kuwa na office. Hivyo naomba mwenye office maeneo ya sinza mwenge, kijitonyama na survey...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nipo mkoani nawezaje kupata mashine tajwa na kwa Dar na bei zake zipoje?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Usipakate laptop kwenye mapaja joto linalotolewa na laptop linaweza kuathiri ukuaji na kuzaliwa kwa cell hai zako za mwili.ivyo hepuka kujizuru kwa kununua Cooling Laptop Table @ Tzs 230, 000/...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu kama kichwa kinavyosena, shamba lipo kibaha kwa Mathias ukipita nyungu kuelekea msangani, ukubwa wake ni ekar moja na nusu na lipo tambarare bei ni 15M, sababu za Kuuza ni mambo yangu kwenda...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natafuta fundi paper walls, kama unamjua mtu ama unaijua hii kazi ni PM ama tuwasiliane. Nipo DSM-Masaki
0 Reactions
0 Replies
775 Views
Back
Top Bottom