tuwe wakweli
JF-Expert Member
- Feb 15, 2014
- 223
- 59
Nahitaji gari hilo jamani kwa bajeti ya 4.5M.Kama unayo ni PM namba yako ya simu.
Nipe 10m.
Mkubwa,mkono wangu umejikuna kuishia hapo,10m parefu jombaa,labda 6m
Nipe 10m.
Mkuu hembu taja plate namba za hiyo gari