Habari,
Katika kijiji cha Buyuni, kata ya Vigwaza kuna madimbwi makubwa mawili, dimbwi moja lina ukubwa wa eka 12.5, na dimbwi la pili ni kubwa sana, ni eka 39.0 (hapa tulipima nusu ya dimbwi). Madimbwi yote yana maji yenye samaki jamii ya perege, kitoga na kambale. Nimewaona hao samaki wakati nayapima haya madimbwi.
Maeneo yanayozunguka haya madimbwi yanauzwa Tsh 350,000/ kwa eka moja. Hili dimbwi kubwa linakaa na maji mpaka msimu mwingine wa mvua kama hakuna ukame, linafaa kwa wanaotaka kufuga kwa scale kubwa, maana maji yapo ya kutosha. Hili dimbwi dogo pia lafaa kwa ufugaji,ila maji yake kina ni kifupi, ila ardhi yake ina rutuba sana. Buyuni kuna wakulima na wafugaji, kijiji kimetenga maeneo ya wafugaji.
Ni km 9 toka barabara kuu pale Vigwaza, na kutoka kijijini center mpaka dimbwi kubwa lilipo ni km 3. Nchi ina uoto wa asili mzuri, ni kijani sehemu kubwa ya mwaka.
Kwa anayehitaji shamba-dimbwi kwa ufugaji na kilimo cha nafaka, basi tuwasiliane.