Nauza iphone 4s kama spear

Nauza iphone 4s kama spear

Kigger

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Posts
884
Reaction score
836
nauza iphone 4s kama sipea ila yenyewe inatatizo la icloud inawaka fresh tsh 50000 ni pm ama 0757560345
 
Toa display yake uniuzie... Utauza sh ngapi??? Kama unauza as spear ibomoe uuze parts mojamoja utapata zaidi ya hiyo bei utakayo.
Ifungue uvitundike kama watundikavyo spear za used magari mwananyamala..
 
yani hakuna kinacho shinda ela we nicheki kwa iyo namba 0757560345
 
Mkuu naomba ugeuze nyuma unisomee model yake, mim kesho tutafanya biashara kama kweli ni iphone 4 S na si 4. Wengi huzani ni 4s while ts 4
 
Back
Top Bottom