Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,521
- 14,000
Habari zenu?
Natafuta msichana mwaminifu wa kuuza duka la mahitaji ya nyumbani hapa mtaani Morovian,jirani na Mianzini,Arusha.
Sifa:
Ajue kusoma na kuandika
Awe na wadhamini
Awe na bidii ya kazi
Atapata sehemu ya malazi kama atakuwa naishi mbali na Arusha.
Mshahara makubaliano.
Mawasiliano: 0752489529 au ni PM.