Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

kiwanja kinaukubwa wa mita 20/30 kiko mbeya karibu na chuo cha MUST kinafaa kwa hostel au makazi,ni tambarare,umeme na maji vpo,barabara hadi site. Bei 7,000,000/_ Million.contact 0717396677
0 Reactions
7 Replies
2K Views
TOYOTA CARINA Ti 1490cc, ya mwaka 2000 nyingine ya mwaka 1999 (1490cc), Rangi Nyeupe, zimelipiwa ROAD LICENCE & BIMA zinauzwa zipo Dar es Salaam ukihitaji kuziona tafadhali wasiliana nami kwa...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Je unataka/una mpango wa kujenga nyumba ya gharama nafuu kwa kutumia vifaa vinavyopatikana hapa nchini na nje ya nchi?Je unahitaji nyumba ambayo baada ya kuijenga gharama za uendeshaji ikiwemo...
0 Reactions
0 Replies
759 Views
Tunauza duvet cover 40,000 jumla 35,Net za vyuma kwa 65000 tu jumla 55000,shuka 2 foronya 2 cotton size 6/6 tsh 22500,set ya DUVET nene tsh 70000,blanket 35000 tu,pazia nk.Duka lipo sinza...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Natafuta mashine ya kuranda na ,kuchana pamoja na ya kukeleza
0 Reactions
0 Replies
1K Views
TANGAZO: Nyumba inauzwa, ipo maeneo ya kihonda karibu na mizani, ina ukubwa wa vyumba 3 vya kulala,kimoja ni MASTER, jiko, dinning, sitting room, choo na bafu. Na eneo nyumba ilipo lina ukubwa wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ni nyumba nzuri ya kisasa ina vyumba 3 kimoja master, dinning, sebule na jiko. Pia kwa nje kuna choo na jiko kubwa la kisasa. Nyumba ipo ndani ya fensi ina umeme na maji ya Dawasco na simtank ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wandugu, mimi ni mjasiriamali, ninatafuta soko la asali kwa hapa Dar es salamaa au kama kuna sehemu nyingine mawazo yenu pia yanakaribishwa. Nina asali lita 200 ambayo ni asali mbichi. Kama...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kwa wanaohitaji apartment za kupanga maeneo ya Kimara kona kuna ghorofa jipya la floor nne lina apartments zilizo na vyumba viwili vyote self na choo cha nje, sebure, jiko na min store, maji ya...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Bajeti yangu ni lak 5.5 kuna room ya negotiation! Dont even think kuniletea copy I know the infact mimi pia huwa naziuza mwenye hii kitu ani PM tafadhali
1 Reactions
12 Replies
5K Views
Located at Chanika near the main road only 5minites away by car. Kina ukubwa wa 4000sqm with a clean document. Goes for 19mil fixed price. Serious buyers only pm for more details. Pia kingine...
0 Reactions
1 Replies
719 Views
Kilimanjaro Film Institute (KFI) will conduct short course about Cinematography and Editing(Creative Media)from 29thJune-29th July at its compound in Arusha. It is our pleasure to invite you to...
1 Reactions
0 Replies
656 Views
Tunauza bajaj kwa shilingi milioni 6 kila moja. Kwa atakayenunua nyingi zaidi tutampunguzia bei zaidi. Tupo DSM,TMK mawasiliano 0653422776 au mudiduladula@yahoo.com
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Nauza tiles zitokanazo na Tanga stone (slate stones) ambazo zipo katika style tofauti kulingana na mahitaji yako. Ninazo zakuweka sakafuni, kwenye fence, ukutani na hata kwenye garden. Tunauza...
0 Reactions
9 Replies
8K Views
Kama kichwa kinavyosema NYUMBA IPO HAPA DAR SEHEMU INAITWA YOMBO KIEMBE SAMAKI, ina vyumba vinne na uwanja wa kujenga tena vyumba hata vitatu, bei milioni 16, nyumba ni ya kwangu na nimeamua...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Imeuzwa.
0 Reactions
0 Replies
634 Views
Kama unasumbuliwa na taifod nione au nipigie simu 0757250813 tunatibu kwa shilingi 15000. Niko kasulu mwilamvya kama UKo mikoani utatumiwa kwa BASI. Mungu akubariki wengi wamepona
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nauza tablet 330000, ni mpya haina hata week ila nimepata matatizo natakiwa mkoani haraka contact 0763812605
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Laptop Toshiba satellite core i3 hdd 500gb 15" @400k Huawei p7 5" screen ram 2gb quadcore 1.8ghz internal memory 16gb @450k 0713338342
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa wale wapenzi wa kudownload na kustream,vocha zinapatikana.kwa maelezo zaidi tuwasiliane 0659626782. SMS pia zitajibiwa.asante kwa ushirikiano
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom