Nyumba inauzwa kihonda-Morogoro

Nyumba inauzwa kihonda-Morogoro

Jeff

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2009
Posts
1,293
Reaction score
202
TANGAZO: Nyumba inauzwa, ipo maeneo ya kihonda karibu na mizani, ina ukubwa wa vyumba 3 vya kulala,kimoja ni MASTER, jiko, dinning, sitting room, choo na bafu. Na eneo nyumba ilipo lina ukubwa wa ekari moja, bado kuna eneo kubwa limebaki waweza kujenda nyumba ingine,nyumba imezungushiwa ukuta na iko eneo tulivu
bei ni milion 60. only serious people can contact +255712789680. kama unataka kuona picha pia wasiliana na hiyo namba. hapa picha picha itawekwa baada ya kuchukuliwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom