Apartments za kupangishwa Kimara kona

Apartments za kupangishwa Kimara kona

phill

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
1,364
Reaction score
621
Kwa wanaohitaji apartment za kupanga maeneo ya Kimara kona kuna ghorofa jipya la floor nne
lina apartments zilizo na vyumba viwili vyote self na choo cha nje, sebure, jiko na min store, maji ya masaa 24 parking ipo na mlinzi pia na generetor la akiba in case umeme ukikatika. wahi ni mpya kabisa hazija pata mtu.
Ni mita 300 toka Morogoro road.

Kwa mawasiliano
0713348779
0714215271
0674002578
 
Kwa wanao hitaji apartment za kupanga maeneo ya kimara kona kuna ghorofa jipya la floor nne
lina apartments zilizo na vyumba viwili vyote self na choo cha nje, sebure,jiko na min store ,maji ya masaa 24 parking ipo na mlinzi pia,na generetor la akiba in case umeme ukikatika. wahi ni mpya kabisa hazija kaliwa.
Ni mita 300 toka morogoro road.
kwa mawasiliano
0713348779
0688644043
0714215271
0674002578
Muhimu bei!
 
kuna za laki tatu na nusu na laki nne.picha zina kuja wakuuu
 
Hakuna bei hili watu wajue wakipiga simu wanaanzia wapi bargaining...?

Hakuna picha hili kuwavutia watu zaidi...?

Dunia imebadirika wewe biashara za uficho kafanyie malawi huko, saiv hata mtu akisema anapangisha chumba anaweka na bei na picha kabisa
 
Kwa wanao hitaji apartment za kupanga maeneo ya kimara kona kuna ghorofa jipya la floor nne
lina apartments zilizo na vyumba viwili vyote self na choo cha nje, sebure,jiko na min store ,maji ya masaa 24 parking ipo na mlinzi pia,na generetor la akiba in case umeme ukikatika. wahi ni mpya kabisa hazija kaliwa.
Ni mita 300 toka morogoro road.
kwa mawasiliano
0713348779
0714215271
0674002578
Yaani unashuka ngazi kwenda chooni au?:A S wink:
 
Kimara kona ni karibu na kituo gani maarufu.
 
Back
Top Bottom