Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Jamani nahitaji pikpiki aina ya sun lg isiyo na tatizo bei isizidi laki 6 Mawasiliano 0752430195
0 Reactions
10 Replies
3K Views
ni ndani ya mji wa mafinga vinapatikana viwanja kwa matumizi mbalimbali call 0754038837
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari wakuu, Nyumba inauzwa ipo Ukonga Mazizini, ina vyumba 3 vya kulala, sebule jiko na choo, bei yake ni Mill 35 negotiable, madirisha na milango yake ipo ambayo bado haijawekwa kwenye...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
wakongwe wapi naweza pata nguo za karate na gharama zake?
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Nipo Dodoma kama kuna mtu anauza drayer. Naomba aweke bei hapa ili tufanye biashara.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wadau, mwenye mashine ya max malipo inahitajika.... iwe bei nafuu kwa kweli!?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Viwanja vya bei nafuuu vilivopimwa ktk mji wa mafinga kwa huduma zoote.. 0754038837
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kwa wale wapenzi wa kudownload na kustream,vocha zinapatikana.kwa maelezo zaidi tuwasiliane 0659626782. SMS pia zitajibiwa.asante kwa ushirikiano
0 Reactions
1 Replies
700 Views
Huawei ascend y 530,kwa 150 tuuu.715378899
0 Reactions
6 Replies
1K Views
I no longer distribute this product. It's not profitable to retailers located in non-dense populations.
2 Reactions
40 Replies
8K Views
Natafuta mtungi wa gesi mdogo ulio na kajiko kwa juu. Tuwasiliane 0713715772 uwe Dar es salaam
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wadau, Nauza Isuzu NQR 75 kwa bei nafuu. Ni la kubeba mizigo na limetumika. Tani Sita na Nusu. Limetembea mile 70K, gearbox ya manual,Tairi ni mpya kabisa, Turbo, Linatumia Diesel na bei...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nahitaji gari suzuki carry 4wd,manual. Uwezo,tone moja. Mawasiliano 0784413039
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Natafuta Suzuki Carry ya kukodishwa kwa yeyote alienayo tafadhali nitafute tufanye business.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kichwa cha habari chajieleza. Nimechoka kutembea kwa miguu mwenye gari tajwa hapo juu iwe katika hali nzuri na namba ianzie B hapo tunafanya biashari. NB gari ikiwa dar au pwani itakua rahisi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
TOYOTA RAUM Make year; 1999 CC: 1496 Milage: 156,400 km Plate NO. T..... BSX Matatizo: Nil (injini na gearbox...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
unapata free powerbank ni mpya ipo boxed 4core processor 8gb rom 1gb ram large screen 5 inch LAKI 220 TU INAPUNGUA KIDUCHUU NO 0789521550
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nyumba iwe maeneo ya Kinondoni au Mwananyamala. Chumba kimoja ukumbi na choo. Cost yake iwe chini iwezekanavyo.
0 Reactions
0 Replies
891 Views
Habari wana JF, Nauza Laptop inaitwa packard bell ni original Local disk (c) =48.8 GB, local disk (D)=62.9GB ipo kwenye hali nzuri inafanya kazi, ninauza kwa tsh 250,000/= nakupa na adapter...
0 Reactions
0 Replies
957 Views
natafuta home theater ya samsung model ht-es455k,used au new brand kwa mwenye nayo anitafute kupitia namba 0716623022 ujumbe mfupi na simu zitajibiwa
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom