TOYOTA CARINA Ti 1490cc INAUZWA

TOYOTA CARINA Ti 1490cc INAUZWA

clasi

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2013
Posts
379
Reaction score
722
TOYOTA CARINA Ti 1490cc, ya mwaka 2000 nyingine ya mwaka 1999 (1490cc), Rangi Nyeupe, zimelipiwa ROAD LICENCE & BIMA zinauzwa zipo Dar es Salaam ukihitaji kuziona tafadhali wasiliana nami kwa 0769096861. Bei ni 6.5 millioni (Tsh.) Asante
 

Attachments

  • CARINA1.jpg
    CARINA1.jpg
    52.1 KB · Views: 756
  • pikchaz 008.jpg
    pikchaz 008.jpg
    226.5 KB · Views: 630
  • pikchaz 010.jpg
    pikchaz 010.jpg
    214.1 KB · Views: 625
  • pikchaz 023.jpg
    pikchaz 023.jpg
    244.4 KB · Views: 562
kaka naihitaji sana Carina Ti isizidi 1500cc maana ni very economy na spare ni bwerere sasa mimi nipo Arusha naipataje?
 
Dar upo sehem gan nataka kuiona hiyo gari kiongoz mimi nipo Kurasini
 
Kaka mbona simu inaita tu hupokei? Nipigie namba yangu ni voda inaishia na 98. Joshua. Serious nataka kuiona hiyo gari
 
Mkuu nahitaji hiyo gari kwa hiyo 6.5m maana nimejaribu kuiangalia japan mpaka ifike hapa na hizi kodi na uchakavu inafika 10.7m. Tukutane tufanye biashara ndugu
 
Mkuu nahitaji hiyo gari kwa hiyo 6.5m maana nimejaribu kuiangalia japan mpaka ifike hapa na hizi kodi na uchakavu inafika 10.7m. Tukutane tufanye biashara ndugu

Kitu ya 2013 kaka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom