Kajipange upya. Kuna chimbo zinauzwa 5.7milion. Ukinipa hiyo 6m nakuletea bajaji mpya na change ya laki 3.
Kifupi natafta mtu wa kufanya naye hii biashara make me sina uwezo wa kuinunua kwa hivi sasa.
Nhna bodaboda 2 nimezipata hivi karibuni.
Hivo basi kama kuna mtu aje anunue bajaji kisha tuingie mkataba wa miezi 12 me nifanye kazi ya kumrudishia milioni 11 ndani ya huo muda wa miezi 12. Kifupi namhakikishia kabla ya huo muda kwa maana ndani ya miezi 8 mpaka hapo kwenye deadline tunakuwa tumemalizana kisha mzigo unakuwa wangu.
Niko hapa dar eneo ninaloendeshea lina shida ya usafiri na bajaji zipo chache sana hazikidhi mahitaji.