Kiwanja kinauzwa

zegebovu1

JF-Expert Member
Nov 20, 2013
415
134
Nauza kiwanja kipo goba km2 kutoka barabara ya lami kipo kwenye barabara ya mtaa. Mitaa imepangika vizuri na kumejengeka vema kuna umeme na huduma zote za kijamii. Ukubwa 20*20meters bei 9mil.
Contact 0755643324
 
zegebovu1 ...naijua hiyo mitaa, nina 5M kama inalipa nicheki PM

Shukrani mkuu dikembe. 5mil. Ni offer nzuri sana ila upo chini mkuu panda kidogo nikuachie plot. The good thing unajua kulivyo potential
 
Last edited by a moderator:
Nauza kiwanja kipo goba km2 kutoka barabara ya lami kipo kwenye barabara ya mtaa. Mitaa imepangika vizuri na kumejengeka vema kuna umeme na huduma zote za kijamii. Ukubwa 20*20meters bei 9mil.
Contact 0755643324

Kina hati au offer?
 
Nyumba inauzwa Chanika Tshs. Mil 62. Ipo ndani ya kiwanja cha Medium size, Ina master bedroom 1, sub master 1, vyumba vya kawaida 2, common toilet, sitting room and dinning, stoo na jiko. Nje ina garage, mabanda ya kuku na mbwa, jiko, stoo na choo cha nje, pia ina wigo wa ukuta.

Mawasiliano: 0654060250
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom