Nauza King'amuzi cha Azam

Nauza King'amuzi cha Azam

jmaroa

Senior Member
Joined
Jul 29, 2014
Posts
111
Reaction score
23
Wanajamvi asubuhi hii nilipost advert hapa kwamba nina king'amuzi cha kuuza (azam tv) king'amuzi na dish yake. Wengi mnauliza bei nitakiuza shilling laki moja na elfu kumi tu ila bargaining ipo wadau.
Mi niko Mwanza. kama uko mikoani na una jamaa yako Mwanza unaweza ukamtuma aje akione..tuelewane utaratbu wa kuuziana.0755520228.natanguliza shukurani
 
azam wanauza elfu99 we unauza laki moja unaonesha ni tapeli wa kutupwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom