Viwanja vinauzwa Mingoi jirani na Bunju B

Viwanja vinauzwa Mingoi jirani na Bunju B

butron

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2013
Posts
5,769
Reaction score
8,260
1.Ukubwa sqm 2000,bei 75mil.
2.Ukubwa sqm 900,bei 45mil
Vyote vipo kwenye barabara za mtaa na ni dakika 5 tu kutoka Bagamoyo Road,umeme na maji vipo jirani.Unsurveyed na nyaraka za umiliki serikali ya mtaa zipo.

0754856277/0714381704
 
Kweli shilling ya Tanzania imeshuka thamani!
Hapa itabidi nibuni mbinu kama ya magamba nikachapishe noti zangu nikuletee hizo 75m!
 
1.Ukubwa sqm 2000,bei 75mil.
2.Ukubwa sqm 900,bei 45mil
Vyote vipo kwenye barabara za mtaa na ni dakika 5 tu kutoka Bagamoyo Road,umeme na maji vipo jirani.Unsurveyed na nyaraka za umiliki serikali ya mtaa zipo.
0754856277/0714381704

vikifika milioni 10 nishtue
 
Watu wana exagerate tu mingoi haijafika bei hyo last week nimetoka tu hapo mtu kanunua heka moja milioni 15 not so far from bagamoyo road unlesa mtuambia hvyo vyenu vina nini!?
 
Watu wana exagerate tu mingoi haijafika bei hyo last week nimetoka tu hapo mtu kanunua heka moja milioni 15 not so far from bagamoyo road unlesa mtuambia hvyo vyenu vina nini!?
Wewe upajui mingoi ata kimele huwezi pata heka kwa bei iyo.Yaani plots zipo mita 100 kutoka Bagamoyo Road,full miundombinu na jirani zangu wamejenga nyumba za kisasa,unataka nikuuzie milioni 5?!!
 
Wewe upajui mingoi ata kimele huwezi pata heka kwa bei iyo.Yaani plots zipo mita 100 kutoka Bagamoyo Road,full miundombinu na jirani zangu wamejenga nyumba za kisasa,unataka nikuuzie milioni 5?!!

Kwa mabunduki kule ni mingoi au sio mingoi you cant be serious squatter 75 m hakuna kitu kama hicho think again
 
squatter 75m???? utakuwa umelala ukaota utajiri wewe! mi nlifkiri heka 2 kumamake.

Sıdhani huo kama ni udalali.Hata kama kungekuwa kumepimwa bado eneo hilo hauwezi uza kiwanja cha 30*30 kwa mil 45.Labda km kumejengwa ama ni typing error, jamaa kakosea.
 
Sıdhani huo kama ni udalali.Hata kama kungekuwa kumepimwa bado eneo hilo hauwezi uza kiwanja cha 30*30 kwa mil 45.Labda km kumejengwa ama ni typing error, jamaa kakosea.

Kuna watu wanataka kutisha watu na huu ni ushauri wangu kwa mtu anaetaka kununua kiwanja au shamba most of watu wanaopist viwanja mitandaoni huku wanatake advantage, anataka auze kiwanja kimoja atoke kimaisha thats all.

Unataka kiwanja au shamba ingia mwenyewe field ongea na wakazi wa eneo au wamiliki wale wenyewe zunguka hata mwezi mzima mana matapeli nao ni wengi unaeza uziwa shamba la mtu, so jiridhishe ndo utoe hela ila kwa hizi bei za mtu anaamka tu anaandika squtter 75m nyumba magomeni zingikuwa bilioni mbili kariakoo bilioni 5, kinondoni bilioni 1, wakat reality haipo hvyo ingia field search,
 
Acha wizi wewe kanjanja,mingoi kwa mwingira,kiaraka,kiembeni hakujafika milioni 75,,$#3女子 门口 sana。
 
1.Ukubwa sqm 2000,bei 75mil.
2.Ukubwa sqm 900,bei 45mil
Vyote vipo kwenye barabara za mtaa na ni dakika 5 tu kutoka Bagamoyo Road,umeme na maji vipo jirani.Unsurveyed na nyaraka za umiliki serikali ya mtaa zipo.

0754856277/0714381704

Jaribuni kua serious jama... Hizo bei manazitamkaga tu mnazijua au ndio kuandika tu.. Ununue kiwanja bunju 75m kwa lipi?
 
Tatizo nini kwani? Mbona mmeshupaa hivyo kuharibu Biashara ya mwenzenu? Kama mnauza Mali za Bei rahisi hamjakatazwa kutangaza ili mpate wateja.
MIMI NAUZA BEACH PLOT EKA 2 MAPINGA. HATI IPO, BEI 1B(Tshs. bilioni moja)
Natafuta wateja, sio maoni, ushauri wala wakosoaji. SO You BETTER SHUT THAT EFYUCEKAY UP, Aye.
 
Kwa mabunduki kule ni mingoi au sio mingoi you cant be serious squatter 75 m hakuna kitu kama hicho think again
Ficha ujinga wako kidogo basi,unapayukaje kama kasuku au zuzu wakati mali hujaiona ilipo?wanaohitaji mali wanaenda kuona kwanza ndiyo una-comment.Sijaiba cha mtu ni mali yangu naamua mimi bei sio wewe,ili ni soko huria hakuna wa kumpangia mtu bei ya mali yake,unahoji bei kwani kuna mamlaka ya kupanga bei ya Ardhi Tanzania?Rubbish!
 
Tatizo nini kwani? Mbona mmeshupaa hivyo kuharibu Biashara ya mwenzenu? Kama mnauza Mali za Bei rahisi hamjakatazwa kutangaza ili mpate wateja.
MIMI NAUZA BEACH PLOT EKA 2 MAPINGA. HATI IPO, BEI 1B(Tshs. bilioni moja)
Natafuta wateja, sio maoni, ushauri wala wakosoaji. SO You BETTER SHUT THAT EFYUCEKAY UP, Aye.
Ata mimi nashangaa mkuu,mtu kashupaa kama anamiliki eneo au yeye ni chifu wa eneo la Mimgoi.Lakini uyo king najua ni dalali.
 
Jaribuni kua serious jama... Hizo bei manazitamkaga tu mnazijua au ndio kuandika tu.. Ununue kiwanja bunju 75m kwa lipi?
Kwani wewe ulitaka kiwe wapi ndiyo kiuzwe bei iyo?na pia naomba unieleze ni nani au ni mamlaka gani iliyopewa kupanga bei ya viwanja Bunju,ili nami nijemfahamu anisaidie.Vijana watanzania tuache majungu na fitina.Ndugu yangu chakarika upate vyako,acha kupoteza muda kujadili mali za watu.
 
Acha wizi wewe kanjanja,mingoi kwa mwingira,kiaraka,kiembeni hakujafika milioni 75,,$#3女子 门口 sana。
Wewe ni dalali,nakufahamu vizuri tu.Sio mara ya kwanza kuwasiliana na wewe umu jamvini.Nauza mali yangu sijaiba mali ya mtu,so usinipangie kaka hatujatafuta wote.Fanya yako kaka.
 
Nyumba inauzwa Chanika Tshs. Mil 70. Ipo ndani ya kiwanja cha Medium size, Ina master bedroom 1, sub master 1, vyumba vya kawaida 2, common toilet, sitting room and dinning, stoo na jiko. Nje ina garage, mabanda ya kuku na mbwa, jiko, stoo na choo cha nje, pia ina wigo wa ukuta.

Mawasiliano: 0654060250
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom