Solar Panel inahitajika

Solar Panel inahitajika

nyano

Senior Member
Joined
Mar 8, 2013
Posts
132
Reaction score
129
Kwa sasa nipo Tarime, nahitaji Solar Panel kwa ajili ya matumizi ya kawaida kama lighting, radio, na ku charge simu.
Naomba kwa wauzaji wa Mwanza, hii ni fursa kwani kuna demand kubwa sana.
 
Hizo ndo specification jaman naomben msaada kwan nikifankisha hii kutakua na dil nyingne nying na huenda ukapata masoko zaidi huku
 
Hizo ndo specification jaman naomben msaada kwan nikifankisha hii kutakua na dil nyingne nying na huenda ukapata masoko zaidi huku

kuna jamaa wanauza solar za ukweli za kijeruman lakn wapo dar
 
Dar issue ya usafir c ita add cost sna.
mikoa ya jirani itakua vzur zaid
 
Back
Top Bottom