Nasakadoo
JF-Expert Member
- Sep 18, 2014
- 343
- 169
Salaam Wakuu
Kuna mtu kanipa kazi ya kuwa nimuulizie Gari gani zuri la kutembelea akiwa na familia yake ya watu wanne mpaka 6, aliniambia anahitaji gari la Sehemu tatu yaani mbele kwa Dreva,katikati na Mwisho. Yupo Nje sasa anataka akija anunue gari la kutembelea yeye na familia yake kwa kipindi ambacho atakuwa Dar.
Mimi binafsi nikamwambia naona NOAH hizi za kisasa kama Voxy na hizi za kuanzia miaka ya 2003-2008 ni nzuri.
basi akataka kujua Bei yake ni shilingi ngapi, Kwa U$D na Tsh kwa tofauti ya Used na Jipya.
so nimelileta kwenu wataalam wa magari ili nikimpa feedback nimpe za uhakika na halali.
Lakini pia hata kama kuna gari zuri zaidi ya noah la kifamilia ningependa kujuzwa. Shukrani. Nasubiri mrejesho.