Forecaster
JF-Expert Member
- Nov 22, 2013
- 220
- 149
Baada ya kupitia kampuni nyingi zinazouza magari ya kijapani, hawa jamaa wa AUTOREC naona Wako vizuri. Wana hadi warranty. Kwa wanao ifaham hii kampuni nadhani wapo vyema!

Autorec wapo tokea Miaka ya 1970's
Hawa jamaa, wanafanya Biashara kuprofessional zaidi. Nimewahi nunua gari nikalitumia kwa miaka 5 huku nikiwa nafanya Regular Service tu. Na hata iliponisumbua CV Joint, ikikuwa ni uzembe wangu kupitisha gari kwenye Madimbwi.
Sema wako Juu kiasi kwa gharama. Kwa vile huwa wanazirekebisha kwanza Gari zao kabla ya kuziuza.
Hivyo ukibahatika kupata hari toka Autorec basi ujue umepata kitu cha uhakika.
Gari mbili nilizowahi kununua toka BeforwArd, nilijisifia kwa bei nzuri kumbe zote zilikuwa Kimeo. Zilikuja zikiwa zimekufa Bearings na nyingine shockups za mbele zikiwa chali.

vipi kuhusu SBT #forecaster ???
SBT ni kampuni kubwa Pia. lakini hawa Autorec ni zaidi, kwani gari zao zinapelekwa factory for any defect. Reconditionning ya gari inafanyika
ukifanya comparison Sbt na Befoward....ip n nzur zaid kwa ubora wa magar na bei????
mkuu umenielewa kwel???#forecaster
Kwa maoni yangu sbt na beforward iko dugu moja kwa maana ya ubora, yaani ni wastani inategemea na bei uliyonunulia kama ni kubwa ubora pia waweza kuwa mkubwa na factor nyingine ni huyo muuzaji aliyewauzia beforward au sbt kauza kwa bei gani coz mtumiaji wa japan anaweza kuwa na gari zuri sana akaliuza bei ya chini sana so beforward na sbt wao huwa hawachukui faida kubwa kwa gari moja bali wanachukua faida kdg kwa magari mengi. So sbt na befoward kwa ubora tofauti ni ndogo but kwa bei nadhani befoward anaweza kuwa chini kidogo. Ila kwa ubora autorec anawazidi wote japo bei zake ni kubwa. Kwa ubora autorec wanafanana na real motors wana magari mazuri sana bei za wastan.ukifanya comparison Sbt na Befoward....ip n nzur zaid kwa ubora wa magar na bei????