Vietel ni mtandao mpya wa Simu kutoka Vietnam ambao unatarajia kuzindua Huduma zake Septemba mwaka huu,mtandao huu kwa sasa wanakaribia kukamilisha zoezi la kutandaza minara nchi nzima.
Vietel ni...
Habari zenu wakuu
Viwanja vinauzwa maeneo mbalimbali kama Toangoma, Muembe mtengu, Geza ulole, maeneo yote yapo karibu na Kigamboni na yapo yaliyopimwa (yenye hati) na yasiyo pimwa. Bei...
Habar wakuu, viwanja vinauzwa Ifakara maeneo ya kibaoni vyenye ukubwa wa high density vipo karibu na Mbega resort. Mwenye kuhitaji wasiliana kwa namba 0715495215
habari,je unataka kuwa cartoon? Kutoka kwenye picha yako yoyote uipendayo? Usijali ni kaz rahs nione nikutengenezee cartoon inayowiana kabisa na wewe,angalia picha zifuatazo kuona baadhi ya kaz...
habari wana JF, mimi ni mwanafunzi wa chuo cha uuguzi na ukunga (nursing and midwife) ngazi ya cheti (enrolled nurse) kilichopo mwanza ila natarajia kuhitimu masomo mwezi wa nane mwaka huu...
Habari za jioni wadau wa elimu?
Niwapongezeni wote mlioweza kupata nafasi za kujiunga na vidato vya juu vya elimu ya Tanzania.
Mkononi hapa nina scientific calculators 2, fx 991, nimezitumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.