Nauza tiketi ya ndege dar-mwanza

Nauza tiketi ya ndege dar-mwanza

nyak's

Member
Joined
Oct 4, 2014
Posts
70
Reaction score
54
Safari ni tarehe 20/07/2015 saa tisa alasiri. Bei ni tsh.100,000/= karibuni
 
Mkuu weka taarifa ya kutosha,ndege gani?,iyo tiketi umekata kwa jina lako?,akiwa anasafir utampa kitambulisho chako?,iyo ticket ni ya me or ke? ili anaetaka iyo tiket awe anajua.Pia iyo ticket ni one way or return ticket?
 
Ndege ni Fastjet, one way, awe jinsia ke kuhusu kitambulisho awe na passport size yake mengine nitafanya mwenyewe
 
Ndege ni Fastjet, one way, awe jinsia ke kuhusu kitambulisho awe na passport size yake mengine nitafanya mwenyewe

passport size ukimaanisha picha .. ama ulitaka kusema passport
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom