Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Natafta cm ya tecno touch bei iczd laki mja
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Gari aina ya Mark II inauzwa iko katika hali nzuri sana na bei ni mil 5.5 na maelewano yapo. Kwa mawasiliano zaidi 0754 771 937 Karibuni
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Nauza Laptops aina zote... mpya na used zote zipo... bei ni kuanzia 300,000/- na kuendelea... piga au tuma msg #0714 009817
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Amani kwenu wakuu. Natafuta wateja wanaonunua mbao kwa bei ya jumla. Nafanya utaratibu wa kutafuta kibali halali kutoka maliasili. Kuna uhakika wa mbao 2000 kupatikana kila baada ya wiki mbili. Ni...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
nahitaji samsung galax s2 iwe nzma na isiwe na tatizo lolote nina 150,000(laki na nusu) nipo dsm
0 Reactions
2 Replies
817 Views
Wakuu, Salon ya standard ya kawaida iko complete na ipo sehemu nzuri. Imekuwa hapo kwa miaka mitatu hivyo ina wateja tayari. Mwenyewe ni wa mkoani, alikuwa anasoma chuo amemaliza anarudi mkoani...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wana jamii forum.nawafikishia fursa ya nyumba kuuzwa kwa mnada wa adhara maeneo ya buza mtaa wa sigara dar es salam temeke,nyumba ya kawaida sana choo cha nje,vyumba upande mmoja...
0 Reactions
0 Replies
798 Views
Naomba wakuu mnishauri wapi naweza pata mbegu original nyanya nipo Dar es Salaam ni aina ya tanya na rio grande nataka kulima Dodoma nyanya Mwez wa kumi
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Nokia tajwa hapo juu inatakiwa iwe haina tatzo lolote,iwe haijatumika sana au haijatumika kabisa. Iwe inakaa na chaji,isiwe na michubuko. Mwenye kuwa nayo anicheki
0 Reactions
3 Replies
754 Views
Wana JF ,natafuta vifaa vilivyotajwa hapo juu mahali vinapouzwa hapa Dar , nitashukuru sana kama ukiweka na bei zake
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa anayehitaji laptop na projector jaman anicheck kwenye no yangu ya simu ambayo ni 0715-546818 Imebaki laptop moja na projector moja ambazo ni matata sana Laptop ni dell latitude E5440, ram...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Salamu wana JF Naweza kupata wapi Bata Bukini (Goose) jijini Dar?
0 Reactions
16 Replies
7K Views
Nauza Subaru Forester 2004, natumia tanzania mtuu mmoja mwaka tatu Saloni ya ngozi, zipo safi, 4WD, 2.0TURBO,113'000km,Tinted kutoka kiwandani, reili za juu, Audio SONY, Serviced on time...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wadau, Naombeni msaada wenu. Napendelea MICROSOFT 540,bei?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, Natumai mu-wazima kabisa bila kupoteza muda ni kwamba kama mada inavyoeleza hapo juu kuwa kuna biashara hapa chini ;- Aina : TVS KING Engine : 4 Stroke Muda : 1yr 6mnths...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nina Camera ya kuconnect na desktop ni mpya kwenye box lake haijatumika, nipe ofa uje uchukue hapa Posta Dar. Nilinunua ila ilichelewa kuja nikanunua nyingine hivyo hii ninaiuza. Bei nipe wewe...
0 Reactions
1 Replies
988 Views
Habari zenu wakuu, Tunazo QuickBooks Pro za mwaka 2014, inapatikana ikiwa full package: Ina video za kuonyesha jinsi ya kutumia kuanzia ku-enter bills, pay bills, create invoices.... etc Pia ina...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau, Ninazo QuickBooks Pro za mwaka 2014 (USA), inapatikana ikiwa full package: Ina video za kuonyesha jinsi ya kutumia kuanzia ku-enter bills, pay bills, create invoices.... etc Pia ina keys...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Kichwa cha somo kinahusika hapo juu. Nipo Dar. Bajeti yangu ni shilingi 4.5 milioni.
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Wakuu, Nimeleta bidhaa nyingine mpya pamoja na accessories zake. Ipo samsung galaxy s3 bei yake ni 340000 tu. Nyingine ni samsung galaxy s5 bei yake ni 680000 tu. piga simu au tuma sms kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom