Natafuta Toyota IST/Suzuki Swift/Toyota Vitz

Natafuta Toyota IST/Suzuki Swift/Toyota Vitz

Idimi

Platinum Member
Joined
Mar 18, 2007
Posts
15,666
Reaction score
11,759
Kichwa cha somo kinahusika hapo juu.
Nipo Dar. Bajeti yangu ni shilingi 4.5 milioni.
 
Duh mkuu nina Ist number C poa sana but hiyo bei ni chini saaana leta 8 nkuletee dar from Arusha

Boss, ndo kwanza najikongoja, siko njema sana kimshiko, ndo nimejikuna mpaka hapo. Pooza bei mkuu unisaidie
 
Kwa bei hiyo unatafuta kujuana na mafundi wote wa DarU
Mas'hara yako yamejaa ukweli ndani YAKE.
UZOEFU WANGU:
mfano IST kupata ya OFA yake hiyo, Labda iliyopata ajali mbaya sana.
**Mimi ninayo:
Namba D , RANGI ya Blue, ya mwaka 2003,ambayo IMETUMIWA NA mwanamke pekee,inahitaji Tshs. 9.5M.
 
0712505049 nipigie hapa uchague gari unalotaka yard magar ni used 4.5million
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom