Natafuta Mbegu ya nyanya

Natafuta Mbegu ya nyanya

ngawia

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2014
Posts
844
Reaction score
869
Naomba wakuu mnishauri wapi naweza pata mbegu original nyanya nipo
Dar es Salaam ni aina ya tanya na rio grande nataka kulima Dodoma nyanya Mwez wa kumi
 
Mkuu usithubutu kulima mbegu ya Tanya ilichonifanyia ni siri yangu!,wewe lima Rio glande au Mwanga,utacheka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom