Wadau naombeni msaada wenu.
Napendelea MICROSOFT 540,bei?
Kuna duka liko pale samora opposite na Federal Bank of Middle East kama unaenda TRA pale wanatoa leseni za magari ndio niliona wqnauza laki 4. Nadhani kariakoo inaweza kua pungufu ya hapo. Jaribu.